SILABASI YA FASIHI YA KISWAHILI, ADVANCED SECONDARY CURRICULUM 2025

Admin
July 4, 2025
46 views
24 downloads
  • Download Now
  • Downloads: 24
  • Create Date: July 4, 2025
  • Last Updated: September 14, 2025
SILABASI YA FASIHI YA KISWAHILI, ADVANCED SECONDARY CURRICULUM 2025

Category: A'level

Description:
SILABASI YA FASIHI YA KISWAHILI, ADVANCED SECONDARY CURRICULUM 2025 Mtaala huu wa Fasihi ya Kiswahili unaendeleza matumizi ya ujuzi, ufahamu na stadi ambazo wanafunzi walijifunza awali, ili kuzitumia katika kutatua changamoto wanazokumbana nazo katika maisha ya kawaida. Maendeleo yao katika viwango hivi vya ujifunzaji huwawezesha kukuza stadi za msingi, kama vile; mawasiliano bora, utafakari na utatuzi wa matatizo. Aidha, unakuza uwezo wao wa kupata stadi za tafakuri kama vile, udadisi, ubunifu na uvumbuzi, uamuzi na utafakari. Mtaala huu unapendekeza matumizi ya mbinu za ufundishaji zinazowashirikisha wanafunzi katika shughuli zifungamanazo na tajriba za hali halisi za maisha pamoja na kuthamini viwango mbalimbali vya wanafunzi wenye uwezo tofauti wa ujifunzaji.

Comments (0)

No comments yet. Be the first to comment!

Add a Comment